ISHMI business

ISHMI business TUNAUZA BIDHAA TOFAUT TOFAUT K**A VILE SAA NA VYENGINE VINGI FUATA UKURASA ILI UPATE HUDUMA UIPENDAYO

20/04/2026
karibuni tuje kuelimikakwa pamoja
18/04/2026

karibuni tuje kuelimika
kwa pamoja

10/03/2026
23/01/2026 nilipata fursa ya kipekee kuhudhuria hafla na mafunzo kutoka kwa Joramu Nkumbi wa AYLF (Africa Youth Leadersh...
29/01/2026

23/01/2026 nilipata fursa ya kipekee kuhudhuria hafla na mafunzo kutoka kwa Joramu Nkumbi wa AYLF (Africa Youth Leadership Forum) kuhusu “Developing The Leadership Within”.
Nimejifunza kuwa uongozi wa kweli huanza ndani yako kabla ya kuwaongoza wengine.
Naendelea kukua, kujifunza na kuwa kiongozi bora kila siku. 💡🔥

ORIENTATION AND REGISTRATION WEEK 2025Taarifa kwa Wanafunzi waliodahiliwa SUZA mwaka wa masomo 2025-2026 Kufuatia kupele...
08/11/2025

ORIENTATION AND REGISTRATION WEEK 2025

Taarifa kwa Wanafunzi waliodahiliwa SUZA mwaka wa masomo 2025-2026 Kufuatia kupelekwa mbele kwa wiki ya Utambulisho na Usajili iliyokuwa ifanyike tarehe 04/11/2025,

Rais wa SUZASO Mh. Asia Ramadhani Khamis
anawatangazia wanafunzi wote kuwa wiki hiyo sasa itafanyika tarehe 17/11/2025 ,Kampasi Kuu Tunguu,Ukumbi wa Dkt Ali Mohammed Shein

KARIBUNI SANA CHUO KIKUU CHA TAIFA ZANZIBAR (SUZA)

Address

Zanzibar
Stone Town

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ISHMI business posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ISHMI business:

Share