05/03/2024
TOYOTA BELTA
PRICE: 16,000,000/=
Yamoto sana
Malipo kwetu ni kwa awamu Mbili unaanza lipia Tsh 8,000,000/= gari likifika unakagua ukisharidhika na gari unamalizia kiasi cha Tsh 8,000,000/=
Year :2008
Engine Size : 990
Transmission:Automatic
Fuel : PETROL
Steering :Right
Doors:5
Seats:5
Color : white
Pia Tunahuduma ya Mkopo, unalipia 50% ya Gharama ya Gari,50% inayobaki unalipa kwa Mkopo.Marejesho ni kwanzia miezi 6 Hadi miezi 24.