Shuu_salum

Shuu_salum Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shuu_salum, Jewelry/Watches, Dar es Salaam.

03/05/2026

🌶️✨ Ongeza ladha ya kipekee kwenye mapishi yako!
Tunayo spices safi na zenye ubora wa hali ya juu kwa:

☕ Tea Masala
🍛 Pilau Masala
🥩 Beef Masala
🍲 Biryani Masala
🍗 Chicken Masala

📍 Tunapatikana Mabibo Mwisho – Dar es Salaam
📍 Pia Mbeya – Mzumbe

PRICE: 5,000/=tsh

MAWAKALA KARIBUNI

🔥 Karibu ujionee tofauti ya ladha!

📞 Wasiliana nasi: 0654070602

👉 Agiza leo, fanya kila mlo uwe wa kukumbukwa!

19/04/2026

Je, umechoka kupika chakula ambacho hakina harufu wala ladha ya kusisimua? Combo yetu ya Masala ya shuufoods imekuja kukupa heshima jikoni.

​✅ Harufu nzuri: Inayovutia kila mtu mezani.
✅ Ladha tamu: Inayokolea kila kijiko.
✅ Ubora: Viungo asilia, hakuna kemikali.

​Combo Inajumuisha:
​Pilau masala 🍚
​Biryani masala🍛
​Chicken Masala 🍗
​Beef masala 🥩
​Tea Masala ☕
​Badilisha mapishi yako leo kwa combo hii ya kijanja. Ni rahisi, ni tamu, na ni nafuu!

Price: 25,000/=tsh (COMBO PACKAGE)
Price: 5,000/=tsh

Tupo mbeya mzumbe na dsm mabibo
YES WE DELIVER
0654070602

16/04/2026

Je, umechoka kupika chakula ambacho hakina harufu wala ladha ya kusisimua? Combo yetu ya Masala ya shuufoods imekuja kukupa heshima jikoni.

​✅ Harufu nzuri: Inayovutia kila mtu mezani.
✅ Ladha tamu: Inayokolea kila kijiko.
✅ Ubora: Viungo asilia, hakuna kemikali.

​Combo Inajumuisha:
​Pilau masala 🍚
​Biryani masala🍛
​Chicken Masala 🍗
​Beef masala 🥩
​Tea Masala ☕

​Badilisha mapishi yako leo kwa combo hii ya kijanja. Ni rahisi, ni tamu, na ni nafuu!

Price: 25,000/=tsh

Tupo mbeya mzumbe na dsm mabibo

08/04/2026

WE LOVE FEEDBACK ❤️
chicken hearts (vimoyo) shuufoods masala

Fanya chakula chako kiwe kitamu na chenye ladha nzuri

Yes we deliver

0654070602

Tupo mabibo mwisho dsm

05/04/2026

WE LOVE FEEDBACK 🥰

Shuufoods masala ni wauzaji na wasambazaji wa masala tamu zenye harufu nzuri na kufanya chakula chako kiwe kitamuuu

COMBO PACKAGE 25,000/=tsh
Unapata
PILAU MASALA
CHICKEN MASALA
BEEF MASALA
BIRYAN MASALA
TEA MASALA

TUPO MABIBO MWISHO DSM NA MBEYA MZUMBE

TUNAUZA JUMLA NA REJAREJA
0654070602

03/04/2026

Mapishi ni sanaa, na siri ya sanaa hiyo ni Shuu Foods Masala! 🥘

Tunakupa mchanganyiko wa asili uliokolea viungo halisi kwa ajili ya ladha ya kipekee nyumbani kwako.

​Tea Masala: Huleta harufu nzuri na uchangamfu kwenye chai yako. ☕

​Chicken Masala: Huifanya kuku iwe laini na yenye ladha ya kukumbukwa. 🍗

​Beef Masala: Huongeza uzito wa mchuzi na ladha ya nyama halisi. 🥩

​Pilau & Biryani Masala: Siri ya pishi la kunukia mtaa mzima! 🍛

Tupo MABIBO MWISHO DSM NA MBEYA MZUMBE

TUNAUZA JUMLA NA REJAREJA

price :5,000/=tsh

Combo package 25,000 (unapata spices package 5)

Agiza sasa ufurahie mapishi

0654070602

02/04/2026

We love feedback ♥️ firigisi kutoka
Na masala

Una marinate vip nyama yako
Tumia shuufoods masala kwa ladha tamuu na harufu nzuri

Beef masala
Pilau masala
Chicken masala
Biryan Masala
Tea masala

Price: 5,000/=tsh

Tunauza jumla na Rejareja
Tupo dsm mabibo n MBEYA mzumbe
0654070602

29/03/2026

Chai ya asubuhi / jioni bila masala yetu ni sawa na harusi bila pilau! ☕✨

Give your tea the respect it deserves. Jipatie paketi yako leo kwa ladha halisi ya kienyeji.

Price: 5,000/=tsh

Tupo mbeya mzumbe n dsm

Tunauza jumla na Rejareja

Yes we deliver 0654070602

26/03/2026

WE LOVE FEEDBACK ❤️ mteja wetu kapika sotojo la small fish😁

masala 5,000/=tsh

Chakula chako kiwe kitamu na chenye ladha nzuri tumia shuufoods masala
Pilau masala
Chicken masala
Beef masala
Biryan Masala
Tea Masala
Tupo dsm mabibo n MBEYA mzumbe

Order now 0654070602

21/03/2026

COMBO PACKAGE 💪🏻 unapata pilau masala,Chicken,beef,biryani na tea masala

Price :25,000/=tsh
Ladha tamu,harufu nzuri

Tupo mbeya mzumbe na dsm mabibo
Yes we deliver

21/03/2026

NYAMA LAINI, yenye harufu nzuri ladha ya kipekee tumia shuufoods beef masala👌🏻
Price: 5,000/=tsh
Tupo mbeya mzumbe na dsm
TUNAUZA JUMLA NA REJAREJA
+255 654 07 06 02

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shuu_salum posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share