Phyto Science Tanzania

Phyto Science Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Phyto Science Tanzania, Mlimani City, Dar es Salaam.

23/02/2018

Tuwasiliane 0743 753 520

07/02/2018
18/01/2018
PHYTO SCIENCE INAGUSAJE AFYA YAKO NA KIPATO CHAKO - PART IUTANGULIZIHII Ni Kampuni Kutoka Malaysia inayouza bidhaa za af...
21/09/2017

PHYTO SCIENCE INAGUSAJE AFYA YAKO NA KIPATO CHAKO - PART I

UTANGULIZI

HII Ni Kampuni Kutoka Malaysia inayouza bidhaa za afya na urembo.

Ina bidhaa zake ambazo ni za virutubisho, ambazo zimekuwa msaada mkubwa sana kwa wagonjwa wa Sukari, cancer, pressure, n.k

Kuna bidhaa za kuondoa sumu mwilini

Kuna bidhaa za kupunguza unene ambazo hukata mafuta mwilini

Pia wana bidha za urembo ambazo mbali na kuboresha mwonekano, hulinda na kuirutubisha ngozi yako

UPEKEE WA PHYTOSCIENCE NA KAMPUNI YOYOTE ILE UNAYOIJUA

👉Ubora wa bidhaa (Miracle Products) zinazosaidia matatizo mbalimbali katika mwili wa binadam k**a Cancer, Kisukari, Pressure, Vidonda vya tumbo, Matatizo ya ngozi, n.k zilizopitishwa na mamlaka husika za kimataifa na hapa nchini

👉Hatulazimiki kuuza bidhaa za kampuni ili tulipwe, kikubwa tunachokifanya ni kuonyesha fursa iliyopo nyuma ya products zetu

👉Malipo makubwa kuliko kampuni yoyote iliyowahi kutufikia

👉Mfumo unaturuhusu kusaidiana hivyo kufanikiwa kwa pamoja

👉Imesajiliwa kisheria na inatambulika na mamlaka zote husika za nchi

Mawasiliano 0743753520

MCHANGANUO WA DIRECT BONUS!!!Direct Bonus utalipwa kulingana na Package unayomiliki mwenyewe pia kulingana na mtu unayem...
13/09/2017

MCHANGANUO WA DIRECT BONUS!!!

Direct Bonus utalipwa kulingana na Package unayomiliki mwenyewe pia kulingana na mtu unayemuingiza!

Kimsingi Unatakiwa kulipwa 40% ya Point za package utakayoiingiza lakini vigezo ni pale ambapo wewe unamiliki package sawa na unayoiingiza au umeipita package unayoiingiza..

Tuzichambue hizi Direct Bonus kwa kuzingatia kila Package

Silver akiingiza
Silver= $30 (675000)
Gold= $88 (198,000)
J.Mobile= $120 (270,000)
Mobile= $176 (396,000)

Gold akiingiza
Silver= $30 (67500)
Gold= $176 (396,000)
J.Mobile= $210 (472,500)
Mobile= $294 (661,500)

Junior Mobile akiingiza
Silver= $30 (67500)
Gold= $176 (396,000)
J.Mobile= $294 (661,500)
Mobile= $441 (992,250)

Mobile akiingiza
Silver= $30 (67500)
Gold= $176 (396,000)
J.Mobile= $294 (661,500)
Mobile= $588 (1,323,000)

Piga 0743753520

Nzuamukende John Musembe

DIRECT BONUSPackage inaposajiliwa tu kampuni inarelease 40% ya point za package husika ili kulipa mtu aliyeiingiza...40%...
13/09/2017

DIRECT BONUS

Package inaposajiliwa tu kampuni inarelease 40% ya point za package husika ili kulipa mtu aliyeiingiza...

40% ya point (PP) za package ni
$30 (67500) kwa Silver
$176 (396,000) kwa Gold
$294 (661,500) kwa Junior Mobile
$588 (1,323,000) kwa Mobile

Bonus hii utalipwa pindi tu unapomaliza usajili wa mtu wako!!!

Pia utalipwa tena Direct Bonus pale mtu wako atakapo upgrade
Nzuamukende John Musembe

Huyu ni Nzuamukende John Musembe aliyeweza kutengeneza zaidi ya $220(Tsh 495,000/=) ndani ya Siku 3 kupitia Kampuni ya P...
28/08/2017

Huyu ni Nzuamukende John Musembe aliyeweza kutengeneza zaidi ya $220(Tsh 495,000/=) ndani ya Siku 3 kupitia Kampuni ya Phyto Science akianza na mtaji wa Tshs 300,000/= pekee tangu ajiunge 26 August 2017. Kila kitu kinataka utubutu pekee. Thubutu leo kujiunga Phyto Science ufikie ndoto zako. Piga namba 0743 753 520 / 0676 452 990 kupata fursa hii.

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam
32706

Telephone

+255743753520

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Phyto Science Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share