Jewelry Store To Go Tz

Jewelry Store To Go Tz Wauzaji wa jumla na rejareja wa urembo - hereni, cheni, bangiri, pete, vikuku etc

Wauzaji wa jumla na rejareja wa urembo - hereni, cheni, bangiri, pete, vikuku etc


Contact us.
+255719405042 Tuko mwenge nyuma ya kituo cha polisi /ulizia fremu mpya za mkorea

15/05/2026

Hello Hello
Karibuni set nzuri sanaaaaa quality poa sanaaaa
Hazipauki wala haziwashi

Unaweza kutupata kwa namba
0719405042
Whatsapp/call

Karibuni tunapatikana mwenge nyuma ya kituo cha polisi pia ni nyuma ya stand mpya ya Mwenge





15/04/2026

Hello Hello !
This is for all ladies and gentlemen who always wants quality and good looking watches ⌚️ 😉 👌

Karibuni tunapatikana mwenge nyuma ya kituo cha polisi pia ni nyuma ya stand mpya ya Mwenge

Unaweza kutupata kwa namba
0719405042
Whatsapp/call





24/12/2025

Hello Hello watu wangu wa nguvuuuuu

Njoo tupendeze na vitu quality nzuri

Bangili izooooooo nzuri sanaaaaa

Pia tunataka upendeze na mwanao ,za watoto zipoo

Zipo size nyingi sanaaaa

Chakufanya piga simu tu uleteweeeee au uje dukani bila kukosa

Tunapatikana mwenge nyuma ya kituo cha polisi pia ni nyuma ya stand mpya ya Mwenge

Kwa mawasiliano zaidi
0719405042
Whatsapp/call





05/12/2025

Hello wapendwa wateja wetuuuuuu
Karibuni Arm cuffs nzuri sanaaaa
Yani zipo size zote wenye mikono minene hata wembamba mnapata nzuriiiiiiiii

Kwa 15,000 tu kwa kila moja 👌
Karibuni sanaaaa 💃






26/11/2025

Hayaaaaa jaman karibuni sanaaaaa dukan set nzima kwa 30,000 tu 🥳🥳🥳🥳👌

Jaman msimu wa holiday huu na graduation karibuni mmpendeze kwa accessories bora sanaaaaa ✨️

Tunapatikana mwenge nyuma ya kituo cha polisi pia ni nyuma ya stand mpya ya Mwenge

Unaweza kutupigia kwa namba zetu📞📲
0719405042
Whatsapp/call




20/10/2025

Hello wateja wetuuuuu

Za kiume izooooo

Karibuni 10,000 kila moja

Tunapatikana mwenge nyuma ya stand mpya ya mwenge pia ni nyuma ya kituo cha polisi cha Mwenge.

Pia unaweza kututafuta kwa namba yetu
0719405042
Whatsapp /call







17/10/2025

Hayaaaa jaman wateja wetuuuu
Karibuni vitu vizuri tukizingatia ubora hapa
Vitu unique 👌 na havipauki
Vyote utapata kwa 100,000 tu yakitanzania 🎉💃

Karibuni mpendezeee
Hapo kuna cheni na bracelet yake na hereni zake unamalizia na saa nzuri kabisaaa 🥳🥳🥳

Tunapatikana mwenge nyuma ya kituo cha polisi pia ni nyuma ya stand mpya ya Mwenge

Pia unaweza kututafuta kwa namba
0719405042
Whatsapp/call










Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00

Telephone

+255719405042

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jewelry Store To Go Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jewelry Store To Go Tz:

Share