19/04/2024
Hii sasa kwa Wenye kupenda kuvaa Kipekee hiapa sasa
Bei yake Full Box 100,000
WhatsApp 0753312306
Hii ni ET3 SERIES 8 High Quality na Mikanda yake ni Ngozi kabsa yaani ni Pure GENUINE LEATHER na PURE SILCON ,hii saa pia Umbo lake ni duara na inachaji yake Fasta Chaji na Betry yake ina kaa na Chaji sana.
✅Ina fanya vitu vyote Vya Smart watch na zaidi maana ina mpaka Atendesi ya kukumbusha kufanya baadhi ya Matendo K**a Kunywa maji,Kupumzika ,kufanya Mazoezi n.k,
✅hii ina Rangi Tatu black,brown na grey
✅na kwenye maji haina shida ni water proof
✅na inakuja ikiwa na Saa ,Mikanda ya kipekee ya Ngozi ,Fast Charge Wireless 🛜
✅na hii saa ina Sapoti SIRI na pia ni Sapoti Intanet na wapenda mazoezi Ndio usisema kabisa maana ina Tunza kumbukumbu zako
✅ina sapoti simu zote za Smartphone