01/09/2025
🌿 Pendezesha Mazingira yako kwa Maua na Miti ya Kuvutia kutoka Gele’s Farm 🌿
Unataka kuipendezesha nyumba yako, shule, hoteli, kituo cha mafuta au kuanzisha bustani ya kuvutia?
Gele’s Farm tunakuletea Miti ya Mapambo, Maua na miti ya kivuli kwa bei nafuu kabisa!
📍 Tunapatikana Mtaa wa Tibaroad, ndani ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Morogoro
📦 Tunatuma mikoani kupitia mabasi yaendayo huko
📞 Wasiliana nasi kwa Simu/SMS/WhatsApp: 0655 185 016
Gele’s Farm - Baadhi ya Miti ya Mapambo, Maua na Miti ya Kivuli tuliyonayo pamoja na bei zake
🌴 Miti ya Mapambo & Palm Trees
- Thika Palm – 10,000/=
- Royal Palm – 13,000/=
- Madagascar Palm – 13,000/=
- Bismarck Palm – 60,000/=
- Red Palm – 40,000/=
- Tanga Palm – 13,000/=
- Sago & American Palm – 35,000/=
🌹 Maua ya Kuvutia
- Rose (Red, White, Yellow, Pink) – 10,000/=
- Musaenda – 45,000/=
- Exola – 8,000/=
- Plumeria (Red & White) – 15,000/=
- Orchid Tree – 10,000/=
🌳 Miti ya Kivuli
- Midodoma – 3,000
- Miharadali – 3,000
- Mikrismasi (Local) – 2,500
- Kodia – 10,000
Ikiwa unahitaji miti ya mapambo/kivuli au Maua tofauti na tuliyoorodhesha usisite kutuuliza kwani tuna aina nyingi sana za miti ya mapambo/kivuli na Maua.
🍊 Miche ya Matunda, Viungo na Miti ya Mbao
Pia tuna na Miche ya Matunda Pamoja na Miche ya Viungo na Miti ya Mbao kwa bei nafuu kabisa.
🥑 Parachichi | 🍋 Ndimu | 🍊 Chungwa | 🍈 Chenza | 🥭 Embe | 🍋 Limao na mingine mingi. Miche yetu ya matunda ni ya muda mfupi.
Karibu sana Gele’s Farm tukuhudumie – Wekeza sasa, ufurahie wakati ujao 🙌🏽
🌿🌺🌳🌴🍋🥑🍊🌲🌹🍇🍈