Bestfy Shop - Afya

Bestfy Shop - Afya Karibu Bestfy shop. For a healthier and happier you.

[MUHIMU] 🩸Unajua Kiwango Chako Cha Sukari Katika Mwili Wako… Au Unahisi Tu?Kwa kutumia Kipimo Cha Glucose Monitor kutoka...
04/03/2026

[MUHIMU] 🩸Unajua Kiwango Chako Cha Sukari Katika Mwili Wako… Au Unahisi Tu?

Kwa kutumia Kipimo Cha Glucose Monitor kutoka Afya Prime, utapima sukari katika Mwili wako kwa sekunde chache tu ukiwa nyumbani, Ofisini au sehemu yoyote ile. πŸ‘‡πŸ½

βœ… Majibu ya haraka na sahihi
βœ… Rahisi kutumia – hakuna usumbufu
βœ… Inafaa kwa matumizi ya kila siku
βœ… Muhimu kwa wenye kisukari na wazazi wetu

🏷️ Bei: Tsh. 45,000 Tu! Badala ya 75,000 Bei ya awali (Offa Maalum – Pcs Chache Zimebaki!)🎯Bila Kusahau Mikoani Tunatuma Kwa Uharaka Na Kwa Uhakika,

⚑ Offa Ni Kwa Muda Mfupi Tu! Zimebaki Pcs Chache!
🚚 Free Delivery Ndani Ya Dar Es Salaam Na Mikoani!
πŸ“¦ Mikoani Tunatuma Haraka Na Kwa Uhakika

19/02/2026

🩸 Unajua kiwango chako cha sukari na Oksijeni… au unahisi tu?

Kwa kutumia Vipimo vya Oximeter & Glucose Monitor kutoka bestfy Afya, unapima sukari na Oksijen katika Mwili wako kwa sekunde chache tu ukiwa nyumbani. πŸ‘‡πŸ½

βœ… Majibu ya haraka na sahihi
βœ… Rahisi kutumia – hakuna usumbufu
βœ… Inafaa kwa matumizi ya kila siku
βœ… Muhimu kwa wenye kisukari na wazazi wetu

🏷️ Bei: Tsh. 65,000 Tu! Badala ya 90,000 Bei ya awali (Offa Maalum – Pcs Chache Zimebaki!)🎯Bila Kusahau Mikoani Tunatuma Kwa Uharaka Na Kwa Uhakika,

πŸ“ Tunapatikana Makumbusho Sokoni, Na Mwenge Shopping Center (Dsm), Tunafanya Deliveries na mikoani tunatuma kwa uharaka na uaminiafu!

☎️ Tupigie 0675 787 287 Kununua Au Bofya Hapa Kutuma Sms Whatsapp: πŸ‘‰ Wa.Me/25567578728

16/02/2026

πŸ”₯πŸ‘£ Miguu Inauma, Inawaka Moto Au Inakufa Ganzi? – Pata Reflexology Therapy Sandals, Ndala Za Tiba Zinazokupa Massage Ya Miguu Kila Unapopiga Hatua!

βœ… Husaidia Kwa Maumivu Na Ganzi Ya Miguu
βœ… Husaidia Kwa Maumivu Mzunguko Wa Damu
βœ… Hupunguza Stress Na Uchovu
βœ… Hurejesha Nguvu Na Usingizi Mtamu Usiku

πŸ’₯ Imejaribiwa Na Kuthibitishwa Kisayansi!

πŸ’° Bei: Tsh. 55,000 Tu! (Offa Maalum – Pcs Chache Zimebaki!)🎯Bila Kusahau Mikoani Tunatuma Kwa Uharaka Na Kwa Uhakika,

πŸ“¦Tunapatikana Makumbusho Sokoni, na Mwenge Shopping Center (Dsm)

☎️ Tupigie 0675 787 287 au 0746 076 027 Au Bofya Hapa Kutuma Sms Whatsapp: πŸ‘‰ Wa.Me/255675787287

Usisubiri hali iwe mbaya ndio ujue kiwango cha oxygen mwilini!Pulse Oximeter – Pima Oxygen (SpO2) na Mapigo ya Moyo ndan...
15/02/2026

Usisubiri hali iwe mbaya ndio ujue kiwango cha oxygen mwilini!

Pulse Oximeter – Pima Oxygen (SpO2) na Mapigo ya Moyo ndani ya sekunde chache tu 🩺
βœ” Haraka & sahihi
βœ” Rahisi kutumia nyumbani
βœ” Inafaa kwa wazee, wagonjwa wa presha, asthma na kila familia

πŸ”₯ OFA MAALUM: Tsh 35,000 Tu!

πŸ“ Tunapatikana Mwenge shopping centre na makumbusho bus stand | 0746 076 027 au 0675 787 287 - Tunafanya Delivery Kwa Uharaka na Uaminifu!

Maumivu ya goti yanakuzuia kufanya kazi zako kwa uhuru? Usivumilie tena.βœ… Knee Compression Support – Inabana kwa usahihi...
13/02/2026

Maumivu ya goti yanakuzuia kufanya kazi zako kwa uhuru? Usivumilie tena.

βœ… Knee Compression Support – Inabana kwa usahihi, inasaidia mishipa na kupunguza maumivu wakati wa kutembea, kufanya kazi au mazoezi.
βœ… Pain Relief Patch (Dawa ya Kubandika) – Hupunguza maumivu kwa haraka, huongeza mzunguko wa damu na kukupa nafuu ya muda mrefu.

πŸ“ Tunapatikana Mwenge shopping centre na makumbusho bus stand | 0746 076 027 au 0675 787 287

βœ… *Pc moja (1) = 40,000 Pamoja na Dawa = 50,000
βœ… *Pcs mbili (2) = 70,000 Pamoja na Dawa = 80,000

πŸ”₯ Unaumwa nyonga au sciatica? Usivumilie maumivu! Hip & Sciatica Support Belt husaidia:βœ… Kurekebisha na kupunguza maumiv...
06/02/2026

πŸ”₯ Unaumwa nyonga au sciatica? Usivumilie maumivu! Hip & Sciatica Support Belt husaidia:

βœ… Kurekebisha na kupunguza maumivu ya nyonga
βœ… Kupunguza maumivu ya mgomgo wa chini na mapaja
βœ… Kurekebisha mkao wa mwili
βœ… Kukupa nafuu wakati wa kazi au kutembea

🎯 Pc Moja (1) = 35,000 | Pamoja Na Dawa = 45,000

Bei Hii Ni Ya Offa, Wahi Zimebaki Pcs Chache Sana. Tunapatikana Dar (Mwenge Mataa, Jengo La Mwenge Shopping Center), Na Makumbusho Stendi. Delivery Ipo Na Mikoani Tunatuma Kwa Uharaka Na Uaminifu!

πŸ‘‰ Kuweka Oda Tupigie Au Tuma Meseji Via: 0746 076 027 Au 0675 787 287

07/01/2026

Digital Therapy Massager Machine, nzuri sana kwa wenye shida ya stroke, ganzi au maumivu ya misuli. Unaipata kwetu .shop na .afya
-
βœ…οΈ Bei ya offer: Tsh. 90,000 Badala Tsh. 150,000
βœ…οΈ Weka order: 0746 076 027 au 0675 787 287
βœ…οΈ Order online: www.bestfy.store

πŸ”₯ Punguza Maumivu Haraka & Amsha Misuli Kwa Utaalamu!Tambua Acupuncture Therapy Pen β€” kifaa cha kisasa kinachochochea mi...
06/12/2025

πŸ”₯ Punguza Maumivu Haraka & Amsha Misuli Kwa Utaalamu!

Tambua Acupuncture Therapy Pen β€” kifaa cha kisasa kinachochochea misuli na kuboresha mtiririko wa damu, hivyo kupunguza maumivu, uchovu na ganzi maeneo mbalimbali ya mwili.

Faida Kuu:
βœ… Huchochea misuli na viungo vilivyochoka
βœ… Husaidia kupunguza maumivu madogo ya mwili & ganzi
βœ… Huboresha mzunguko wa damu
βœ… Hupunguza uchovu na kusaidia mwili kupumzika
βœ… Inafaa kwa wanariadha & watu wa rika zote
⭐ Matumizi: Nyumbani, ofisini au baada ya mazoezi!

πŸ’° Bei ya Ofa: Tsh 65,000 Badala Ya Tsh 95,000

🚚 FREE DELIVERY ndani ya Dar es Salaam!
Mikoani tunakutumia kwa haraka bila usumbufu.

πŸ“ Location: Mwenge Shopping Center & Makumbusho Stand (DSM)
πŸ“² Piga: 0746 076 027 Au 0675 787 287 β€” Weka oda yako sasa hivi!

πŸ”₯ Punguza Maumivu Haraka & Amsha Misuli Kwa Utaalamu!Jipatie Acupuncture Therapy Pen β€” kifaa cha kisasa kinachochochea m...
06/12/2025

πŸ”₯ Punguza Maumivu Haraka & Amsha Misuli Kwa Utaalamu!

Jipatie Acupuncture Therapy Pen β€” kifaa cha kisasa kinachochochea misuli na kuboresha mtiririko wa damu, hivyo kupunguza maumivu, uchovu na ganzi maeneo mbalimbali ya mwili.

Faida Kuu:
βœ… Huchochea misuli na viungo vilivyochoka
βœ… Husaidia kupunguza maumivu madogo ya mwili & ganzi
βœ… Huboresha mzunguko wa damu
βœ… Hupunguza uchovu na kusaidia mwili kupumzika
βœ… Inafaa kwa wanariadha & watu wa rika zote
⭐ Matumizi: Nyumbani, ofisini au baada ya mazoezi!

πŸ’° Bei ya Ofa: Tsh 65,000 Badala Ya 95,000.

🚚 FREE DELIVERY ndani ya Dar es Salaam!
βœ…οΈ Mikoani tunakutumia kwa haraka bila usumbufu.

πŸ“ Location: Mwenge Shopping Center & Makumbusho Stand (DSM)
πŸ“² Piga: 0746 076 027 Au 0675 787 287 β€” Weka oda yako sasa hivi!

[MUHIMU] Punguza Maumivu Haraka! Pata Acupuncture Therapy Pen β€” huchochea misuli na mzunguko wa damu ili kupunguza maumi...
02/12/2025

[MUHIMU] Punguza Maumivu Haraka! Pata Acupuncture Therapy Pen β€” huchochea misuli na mzunguko wa damu ili kupunguza maumivu, ganzi na uchovu.

βœ… Huchochea misuli
βœ… Inapunguza maumivu na ganzi
βœ… Inaboresha blood circulation
βœ… Hupunguza uchovu & husaidia kupumzika
⭐ Inafaa nyumbani, ofisini au baada ya mazoezi

πŸ’° Bei: 65,000 Tsh (bila viatu vya massager)
🚚 Free delivery Dar & mikoani

πŸ“ Mwenge Shopping Center & Makumbusho
πŸ“² 0746 076 027 / 0675 787 287

✨ Long Sleeve Knee Brace hii imetengenezwa kukupa support ya kila siku bila uzito wala kusumbua. Vaa wakati wa kazi, kut...
26/11/2025

✨ Long Sleeve Knee Brace hii imetengenezwa kukupa support ya kila siku bila uzito wala kusumbua. Vaa wakati wa kazi, kutembea au mazoezi na utagundua utofauti mkubwa. Jipatie kwa ofa ya Sh. 30,000 Tu!

Benefits:

🟦 Inaimarisha mzunguko wa damu na kupunguza ganzi
🟦 Nyepesi, breathable na rahisi kuvaa muda mrefu
🟦 Inatoa compression thabiti kupunguza maumivu na kuimarisha goti

πŸ“Tunapatikana Dar es salaam, (Mwenge Shopping Center & Makumbusho Stendi)

🚚 Delivery Inapatikana Pia Mikoani Kwa Haraka Na Uaminifu - Tupigie kuweka order haraka: 0746 076 027 au 0675 787 287

🌐 Unaweza agiza moja kwa moja via: www.bestfy.store

22/11/2025

[πŸ”₯FREE DELIVERY LEO] Usisubiri Uumwe Ndio Upime. Presha Haitabiriki, Na Kuichelewesha Ni Hatari. Jipatie Digital Smart Blood Pressure Monitor Kupima Na Kufuatilia Afya Yako, Una Wazazi Nyumbani Ambao Wanashindwa Kujipima Wenyewe Mpaka Wapelekwe Hospitali? Kifaa Hiki Kinawafaa Sana!

Kwa Nini Unaihitaji? πŸ‘‡

βœ… Husoma Majibu Kwa Sauti – Hata K**a Macho Hayaoni Vizuri.
βœ… Usahihi Wa Hali Ya Juu – Teknolojia Ya Kiwango Cha Hospitali.
βœ… Kitufe Kimoja Tu – Pima Haraka Bila Usumbufu.
βœ… Hifadhi kumbukumbu – Fuatilia mabadiliko ya presha yako.
βœ… Portable & Rechargeable – Tumia Popote Bila Kuhangaika Na Betri.

πŸ’° Bei Za Offa: Tsh 55,000 Badala Ya 75,000 Bei Ya Awali

⚑ Offa Ni Kwa Muda Mfupi Tu! Zimebaki Pcs Chache!
🚚 Free Delivery Ndani Ya Dar Es Salaam Na Mikoani!
πŸ“¦ Mikoani Tunatuma Haraka Na Kwa Uhakika

πŸ“ Tunapatikana Mwenge Shopping Center & Makumbusho Stendi (Dsm)
πŸ“² Piga Simu Kuweka Order: 0675 787 287 au 0746 076 027

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bestfy Shop - Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bestfy Shop - Afya:

Share

Our Short Story

PrideWrist is a company that will be using their profits to give back to others. The bracelets sold will be different colors, with each color representing a different disease, disorder, or cause. The names of the bracelets will be based upon the color and that they represent. For every bracelet shipped, a portion of our proceeds will be donated directly to the foundation/organization that corresponds to each disease, disorder, or cause. We appreciate your support!