23/08/2020
SABUNI NAMBA 1 YA ASILI YA UNGA YA KUFULIA
G1 Laundry ni sabuni asilia ya viashilia kwa matumizi ya mashine za kufulia na kwa mkono.
• Haichubui mikono, unalinda afya yako na familia yako, kuepukana na cancer ya ngozi kutokana na kuchubuka kwa sabuni zingine.
• Haipaushi nguo za aina zote, hadi vitenge. Na kwa nguo nyeupe inazikdi kung'aa zaidi.
• Haichagui maji, yawe ya kisima, bomba, mto nk. kasoro ya baharini tu.
• Jinsi unavyotumia zaidi, nguo inazidi kurudi upya wake na rangi ya nguo kung'aa zaidi. ( hurudisha uasili wake)
• Ina okoa muda mwingi unaotumia kufua na sabuni zingine, hii unaloweka kwa muda wa saa 3 na kuendelea, na utakuta uchafu wote upo kwenye maji, ni kusugua kidogo tu na kuanika.
• Inakupunguzia gharama za matumizi ya pesa ktk kununua sabuni nyingi muda mchache, hii mfuko wa kilo mbili unakaa kuanzia miezi 6 hadi 9, unatumia kidogo sana kwa nguo nyingi. Ina maana ina ubora mkubwa. zaidi. Na kijiko 1 cha chakula, kinafua nguo za wiki nzima kwa mtu mmoja( mzima) na za watoto au chafu zaidi unaweka vijiko 2 hadi 3.
Maji uliyofulia unaweza kuloweka nguo zingine za rangi, bila kuongeza sabuni nyingine.
• Inapunguza gharama za kulipia bill za maji , kwa maana hii ukishaloweka baadae haina povu kabisa utaona uchafu tu bila povu, kwa hiyo unasuuza mara moja tu na nguo kuwa safi kabisa, ukilinganisha na sabuni zingine, unasuuza na maji mengi ili kuondoa povu na kuogopa kupauka kwa nguo.
• Ukisha fua na kusuuza, maji uliyotumia mwagia kwenye bustani ya maua au mboga mboga, yaani kwenye mimea, inatumika k**a kirutubisho cha mmea, kwa maana haina kemikali kabisa.
Usipitwe na sabuni hii, inayofua yenyewe, weka oda yako sasa, unaweza kuchukua mfuko mzima wa kilo 2 au kwa sample za kuanzia 5,000 nakuendela.
Kwa usafi bora , wa haraka na kujali tumia G1 LAUNDRY. IJARIBU SASA, HUTOFUA TENA NA SABUNI ZINGINE ZA UNGA.
Piga au WhatsApp kupata sabuni hii na bidhaa zingine za usafi bora. 0658352000
Wa.me/255658352000