ephraim.malajo

ephraim.malajo Malajo jr

TUNAJENGA HISTORIA TUNATENGENEZA HISTORIA   πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘
07/04/2025

TUNAJENGA HISTORIA TUNATENGENEZA HISTORIA πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘

❀ HISIA
05/04/2025

❀ HISIA

"Unawahitaji watu wakati wote, uwe na cheo,usiwe na cheo unahitaji watu, uwe na fedha usiwe na fedha unahitaji watu; kwe...
25/03/2025

"Unawahitaji watu wakati wote, uwe na cheo,usiwe na cheo unahitaji watu, uwe na fedha usiwe na fedha unahitaji watu; kwenye maisha.

"Mungu ametungenezea mazingira ya kuwategemea wengine, hata daktari unapougua, unahitaji daktari mwingine wa kukutibu na hata siku ukifa hutajizika utazikwa na wengine unawahitaji watu".

Voices of

Tuendelee na maigizo.Lakini tukumbuke vikao vinafanyika na watu wanaumiza vichwa kuupambania mpira wetu wa miguu Tanzani...
22/03/2025

Tuendelee na maigizo.
Lakini tukumbuke vikao vinafanyika na watu wanaumiza vichwa kuupambania mpira wetu wa miguu Tanzania, Ifike Muda Nyuma mwiko Mpunguze Maigizo.

NB: MZEE MAGOMA CHUKUA TEAM YAKO, HUKU WAHUNI WANAICHEZEA BRAND

DON'T LEFT

19/03/2025
Rais wa TFF, Wallace Karia tokea ameingia madarakani Timu ya Taifa β€œTaifa Stars” πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
18/03/2025

Rais wa TFF, Wallace Karia tokea ameingia madarakani Timu ya Taifa β€œTaifa Stars” πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Mwalimu asiye hitaji Ulipie Ada , Tanzania namuona Mmoja Tu
13/03/2025

Mwalimu asiye hitaji Ulipie Ada , Tanzania namuona Mmoja Tu

SWATCH SOKETI 🀠🀠
08/03/2025

SWATCH SOKETI 🀠🀠

  KAKA KESHO NAKUJA KUKUSHUHUDIA WEWE TU, MY BROTHER NIKUOMBE KESHO UVAE VILE VIATU  VYAKO NYEUSI MZEE WANGU,  PALE KATI...
07/03/2025

KAKA KESHO NAKUJA KUKUSHUHUDIA WEWE TU, MY BROTHER NIKUOMBE KESHO UVAE VILE VIATU VYAKO NYEUSI MZEE WANGU, PALE KATI NI BAKORA MZEE WANGU , ALL THE BEST MWANANGU MBUNGE WETU WA RIVER SIDE ANAKUSALIMIA.

JIONI YA LEO TUTAKUA NA KIKAO CHA WAPANGAJI WOTE KUHUSU UMEME.
06/03/2025

JIONI YA LEO TUTAKUA NA KIKAO CHA WAPANGAJI WOTE KUHUSU UMEME.

Msimu wa ukwaju ukifika tush*tuane    USELA
25/02/2025

Msimu wa ukwaju ukifika tush*tuane USELA

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ephraim.malajo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ephraim.malajo:

Share